ARSENAL WAPIGWA MECHI YA TANO MSIMU HUU, WACHAPWA 2-1 NA WOLVES




TIMU ya Arsenal jana imechapwa mabao 2-1 na Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Mabao ya Wolves yalifungwa na Pedro Neto dakika ya 27 na Daniel Podence dakika ya 42, wakati la Arsenal lilifungwa na Gabriel Magalhaes dakika ya 30 hicho kikiwa kipigo cha tano kwa Washika Bunduki wa London katika mechi 10 walizocheza msimu huu kwenye ligi

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form